0
TID kumshtaki Steve Nyerere, ni baada ya kutuhumiwa kupokea milioni 2 za RC Makonda
TID kumshtaki Steve Nyerere, ni baada ya kutuhumiwa kupokea milioni 2 za RC Makonda

Msanii mkongwe wa muziki Khalid Mohamed ‘TID’ ameahidi kuwachukulia hatua watu wanaosambaza taarifa kuwa alipewa pesa na Mkuu wa Mkoa wa Da...

Read more »

0
New Audio: Manisca - Shida
New Audio: Manisca - Shida

  DOWNLOAD AUDIO

Read more »

0
Rufaa ya Trump kurudisha marufuku ya waislamu kuingia US yapigwa chini, sasa ruksa
Rufaa ya Trump kurudisha marufuku ya waislamu kuingia US yapigwa chini, sasa ruksa

Mahakama ya rufaa nchini Marekani imelikataa jaribio la Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kurejesha amri yake ya kuzuia wageni kutoka nchi sa...

Read more »

0
Rais Magufuli amsimamisha kazi Kaimu Katibu wa Tume ya Mipango
Rais Magufuli amsimamisha kazi Kaimu Katibu wa Tume ya Mipango

Rais John Magufuli amemsimamisha kazi Kaimu Katibu wa Tume ya Mipango (Wizara ya Fedha), Florence Mwanri aliyeidhinisha kuanza kwa awamu ya...

Read more »

0
Tundu Lissu apandishwa kizimbani
Tundu Lissu apandishwa kizimbani

Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na ...

Read more »

0
Wema aalikwa kwenye 40 ya Prince Nillan Jumamosi hii
Wema aalikwa kwenye 40 ya Prince Nillan Jumamosi hii

Zari na Wema Sepetu mambo mbona fresh tu. Malkia huyo wa filamu nchini amealikwa kwenye sherehe ya 40 ya Prince Nillan. Wakizungumza kwen...

Read more »

0
Mama Wema Sepetu ashinda Polisi kujua hatima ya mwanaye
Mama Wema Sepetu ashinda Polisi kujua hatima ya mwanaye

Sakata la baadhi ya wasanii wakubwa nchini kuhusishwa na biashara ya dawa za kulevya limezidi kuchukua sura mpya, huku mzazi wa Wema Sepetu...

Read more »

0
Kulala chali kwa mjazito ni hatari kwa mtoto
Kulala chali kwa mjazito ni hatari kwa mtoto

Wanawake wajawazito wanaopenda kulala chali  wapo kwenye hatari  ya kuzaa mtoto mfu(stillbirth),ku...

Read more »

0
Chakula cha mtu mwenye Vidonda vya Tumbo
Chakula cha mtu mwenye Vidonda vya Tumbo

Hapo kabla tulisoma kwa kirefu kuhusu vidonda vya tumbo kisha tukasoma kuhusu dawa mb...

Read more »

0
Vita ya dawa za kulevya: 12 kati ya 112 kupandishwa kortini akiwemo Wema, TID na wengine
Vita ya dawa za kulevya: 12 kati ya 112 kupandishwa kortini akiwemo Wema, TID na wengine

Sakata la Madawa ya kulevya limeendelea kugonga vichwa vya habari wiki hii ambapo Jumatatu hii Jesh...

Read more »

0
Fahamu unywaji pombe salama unaoweza kuimarisha afya yako
Fahamu unywaji pombe salama unaoweza kuimarisha afya yako

Kipimo salama na sahihi kwa afya bora cha unywaji wa pombe kinabadilika kutokana na umri. Ongea na mfamasia wako kujua ni kiasi gani ni ma...

Read more »

0
Polisi wamzuia Askofu Mokiwa kushiriki ibada
Polisi wamzuia Askofu Mokiwa kushiriki ibada

Polisi wameingilia kati mvutano ndani ya Kanisa la Anglikana baada ya kumzuia Askofu wa Dayosisi ya Dar es Salaam, Dkt. Valentino Mokiwa ...

Read more »
 
Top